Raila ataja waliofuja Fedha zilizopatikana kupitia mkopo wa Eurobond

Raila ataja waliofuja Fedha zilizopatikana kupitia mkopo wa Eurobond
Fillberto Mayiani

Kinara wa Cord Raila Odinga anapendekeza kuchunguzwa watu 7 kwa kufuja fedha zilizopatikana kupitia mkopo wa Eurobond.

Kwenye mkao wake na wanahabari muda mfupi uliopita Raila amewataja waziri wa fedha Henry Rotich, Joseph Kinyanjui, Patrick Thuge, Njuguna Ndung’u, Moses Muthui , Mohammed Nyaoga na John Berichkama wanaopaswa kuchunguzwa.

Anadai kuwa na ushahidi wa kutosha unaothibitisha watu hao walielekeza kwengine fedha hizo ambazo hazikufika katika mfuko wa serikali bali wa watu binafsi.

Semi za Wakenya Kwenye Twitter :

https://twitter.com/Kijomba/status/687572025108508672

https://twitter.com/NotRuto/status/687573154357706752

https://twitter.com/nickamethyst/status/687574896793251840

Also read:   Raila Alaumiwa Kwa Uongozi Wa Upendeleo.

Post source : Fillberto Mayiani

Related posts

MNL App
MNL App