Mla watu Bungoma

Mla watu Bungoma
Milele Digital

Hali ya taharuki ingali imetanda baada ya mwili mwingine kupatikana katika kijiji cha Namunyiri kaunti ya Bungoma ukiwa umenyofolewa baadhi ya viungo vyake wiki moja baada ya mwili mwingine kupatikana na majeraha sawa na hayo.Kulingana na wenyeji, mwili wa mtu huyo anayetambulika kama Denis, ulikuwa na majeraha kichwani huku macho na ulimu ukinyofolewa.

Also read:   Sakata Ya BAT : KRA yawasilisha habari muhimu kwa tume ya EACC

Post source : Milele FM

Related posts

MNL App
MNL App