HabariMaarufu zaidiMilele FmSwahili

Prof Stanley Khaenga, Uume ulionyofolewa waweza unganishwa tena.

Huku visa vya kunyofolewa wanaume vikikithiri, wataalam wa viungo wanasema kuna matumaini ya kurejesha uume wa waathiriwa katika hali yake ya kawaida. Mtaalam wa kuunganihsa viungo Prof Stanley Khaenga anasema kuna utaratibu unaopaswa kufuatiliwa kabla ya kupata matibabu. Khaenga hata hivyo anasema wapoatibiwa wanapaswa kupitia ushauri nasaha.

Also read:   Unsung Heroes: How Nyeri man conserves the environment by recycling old tyres
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker