Bweni la shule ya wasichana ya Kilgoris yateketea

Mali ya thamani kubwa imeharibiwa baada ya moto kuteketeza bweni kwenye shule ya wasichana ya Kilgoris usiku wa kuamkia leo. Moto huo ulizuka wakati wanafunzi wakiwa darasani kwa masomo ya ziada. Kwa mujibu wa mwalimu mkuu wa shule hiyo Jane Tialal, bweni hilo lilikuwa likitumiwa na zaidi ya wanafunzi 2...
Read more
Rais kuzuru kaunti ya Tharaka Nithi leo

Rais Uhuru Kenyatta leo anazuru kaunti ya Tharaka Nithi ambako anatarajiwa kuendeleza msururu wa kampeni za kuwarai wananchi kumchagua tena katika uchaguzi mkuu ujao. Ziara ya Kenyatta iliahirishwa wiki iliyopita kutokana na kile kilitajwa kuwa uhaba wa muda. Rais ameratibiwa kuzuru chuka Igamba Ngombe,...
Read more
Viongozi wa upinzani wapuuzilia mbali manifesto ya Jubilee

Viongozi wa upinzani wamepuuzilia mbali manifesto ya Jubilee iliyozinduliwa jana. Kulingana na mbunge wa Gem Jakoyo Midiwo serikali ya Jubilee imefeli kutimiza ahadi ilizowapa wakenya mwaka wa 2013. Midiwo anasema Jubilee imefeli kukabili changamoto mbali mbali zinazokumba taifa ikiwemo ufisadi na kuwa...
Read more
Kesi ya kupinga tenda ya Al- Ghurair kusikizwa leo

Jopo la majaji 3 linatarajiwa leo kuisikiliza na kuamua kesi iliyowaislishwa na muungano wa NASA unaotaka kubatilisha tenda ya kuchapisha karatasi za kura iliyokabidhiwa kampuni ya Al-Ghurair. Majaji hao Joel Ngugi, George Odunga and J.J Mativo waliteuliwa na jaji mkuu David Maraga juma jana kuisghuliki...
Read more