HabariMayian FeaturesMilele FmSwahili

Wanafunzi wa darasa la pili watakiwa kurudi shuleni kwa muda

Wanafunzi wa darasa la pili katika shule zote za umma wametakwia kurejea shuleni Jumatatu tarhe 28 hadi Jumatano tarehe 30 mwezi huu kushiriki zoezi la kitaifa la utafiti kuhus uufahamu wao wa somo la hisibati. Katika taarifa katibu waziri wa elimu dkt Belio Kipsang anasema wanafunzi hao watakwua shuleni hadi saa sita mchana katika ili kuiwezesha wizara yake kubaini endapo wanaelewa vyema somo hilo. Katika muda huo wanafunzi wote wametakiwa kubeba vitabu vyao vya somo la hesabu.

Show More

Related Articles