Nkaissery: Wanasiasa wanaoeneza chuki kukabiliwa

Nkaissery: Wanasiasa wanaoeneza chuki kukabiliwa

Serikali sasa imewahakikishia wakenya kwamba watapokea ulinzi pamoja na mali yao kulindwa kabla na baada ya uchaguzi mkuu.
Waziri wa Usalama wa Ndani Joseph Nkaissery anasema wanasiasa wachochezi na wanaoeneza semi za chuki katika kampeni zao watakabiliwa vilivyo ikiwa katika jitihada za kudumisha amani.

Also read:   Senator Muthama summoned by NCIC over alleged inflammatory remarks

Related stories