Peter Kenneth kuwania ugavana kama mgombeaji binafsi

Peter Kenneth kuwania ugavana kama mgombeaji binafsi

Mahakama inayotatua mizozo ya vyama vya kisiasa imekipa chama cha
Jubilee muda wa saa 48 kurudia tena uchaguzi wa mchujo wa kiti cha
ugavana katika kaunti ya Murang’a.
Haya yanafuatia malalamiko kutoka
kwa upande mmoja kuwa uchaguzi huo haukuwa wa huru na haki.
Wakati huohuo, mgombea ugavana wa Nairobi Peter Kenneth ametangaza azma yake ya kuwania kiti hicho bila kutumia chama chochote, akisema kuwa chama cha Jubilee hakikufanya mchujo wa huru na haki.

Also read:   Joho guthii nambere kuhinyirerio ataririe tabarira iria ahingitie na billion 40

Related stories