Kenyatta akemea upinzani kwa kuhujumu maandalizi ya uchaguzi

Kenyatta akemea upinzani kwa kuhujumu maandalizi ya uchaguzi

Vyama viwili kile cha DP na Labour vimetangaza kuunga mkono rais Uhuru Kenyatta kuwania urais kwa awamu ya pili katika uchaguzi wa Agosti nane.
Haya yanajiri huku rais Uhuru Kenyatta akiusuta upinzani kwa kuzidi kuhujumu matayarisho ya uchaguzi wa mwaka wa 2017, na tume ya uchaguzi na mipaka IEBC ambapo rais Kenyatta amewataka viongozi hao wa upinzani kuheshimu uhuru wa mahakama.
Kama anavyoarifu sasa Daniel Kariuki, kinara wa Odm Raila Odinga vile vile amewahakikishia wajumbe wa chama hicho kwamba hawataachwa nje iwapo wajumbe hao watashindwa kwenye uchaguzi.

Also read:   Ababu na viongozi wengine wa ODM Busia wasusia hafla ya maombi inayoongozwa na Raila

Related stories