Gavana wa Narok azindua kampeni ya kutaka kuchaguliwa tena

Gavana wa Narok azindua kampeni ya kutaka kuchaguliwa tena

Gavana wa kaunti ya Narok Samuel Ole Tunai amezindua rasmi azma yake ya kuwania kwa mara nyingine tiketi ya ugavana ikiwa anawaomba wenyeji wa Narok kumchagua kwa mara ya pili.
Kinyang’anyiro kimevutia wagombeaji watatu akiwemo aliyekuwa katibu wa wizara Joseph Tiampati na mbunge wa sasa wa Narok West Patrick Ole Ntuntu aliyehamia Chama Cha Mashinani, CCM maajuzi.

Also read:   Zaidi ya maafisa 200 walalamikia kutolipwa marupurupu ya kazi

Related stories