HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wizi wa Mitihani: Imebainika kuna mitihani bandia ambayo tayari imeanza kuuzwa

Shule zitakazohusika katika  udanganyifu wa mitihani ya kitaifa mwaka huu zitafungwa na wakuu wa shule kushtakiwa.
Waziri wa Elimu Balozi Amina Mohamed na afisa mkuu mtendaji wa KNEC George Magogha kwa kauli moja wamewaonya wanaosambaza karatasi gushi kwamba watakumbana na mkono wa sheria.

Show More

Related Articles