HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wabunge wa kike wavalia vitambaa vyeupe kushinikiza sheria ya 2/3

Hebu tafakari, wabunge wanawake wote wamevalia vitambaa vyeupe kichwani na kisha kumiminika bungeni mmoja baada ya mwengine.

Haya yalijiri alasiri ya leo ambapo wabunge hao waliapa kuendelea kufunga vitambaa hivyo mara moja kwa wiki hadi kipengee cha thuluthi mbili katika katiba kuhusu uwakilishi sawa wa jinsia kitekelezwa.

Show More

Related Articles