HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Vyama vya ANC, Ford Kenya na Wiper vyajiandaa upya kwa 2022

Viongozi wa vyama vya Amani National Congress, Ford Kenya na Wiper huenda wakaanza mikakati ya kubuni muungano mkuu ambao utazingatia umoja wa kitaifa kwenye hatua zao za kwanza wanapojiandaa kwa kura ya mwaka 2022.

Tayari Kalonzo Musyoka ameanza kudadisi kuwa muungano huo au vugu vugu hilo litaashiria Kenya moja na ndio maana juma lililopita wabunge wa vyama vya Ford Kenya na ANC pia waligusia suala sawia.

Anders Ihachi amekuwa akifuatilia kwa karibu mweleko wa NASA na ametuandalia taarifa ifuatayo.

Show More

Related Articles