HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Uchaguzi mdogo wafanyika Baringo Kusini

Uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Baringo kusini ulifanyika leo, huku idadi ndogo ya wapiga kura ikishuhudiwa pamoja na changamoto za mitambo ya kutambulisha wapiga kura.

Hata hivyo, mwenyekiti wa tume ya IEBC Wafula Chebukati, aliahidi wapiga kura pamoja na wawaniaji wa kiti hicho kuwa uamuzi wa wapiga kura utabainika mwishowe.

Show More

Related Articles