HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Seneta Obure: Tutashirikiana na UhuRuto 2017

Viongozi wakuu wa chama cha ODM katika kaunti ya Kisii wametangaza hadharani kuwa sasa wako tayari kufanya kazi na serikali ya Jubilee.
Wakiongozwa na Seneta wa Kisii Chris Obure na Naibu Gavana Joash Maangi, viongozi hao wanasema mweleko wao sasa ni kwenye chama kipya kinachotarajiwa cha Jubilee.
Msukumo huu ukiwadai wakati maandalizi hapa Nairobi kuhusiana na uzinduzi wa Jubilee party ukizidi kunata katika makao makuu mapya ya chama hicho pamoja na uga wa Kasarani.

Show More

Related Articles