K24 TvSwahiliSwahili Videos

Sauti Tajika :  Ulimwengu wa msanii Brown Mauzo aliyepiga kambi Mombasa

Anajulikana kama Fredrick Mutinda, ila Jina la kisanii ni Brown Mauzo, msanii mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni, akiwa sasa anapata riziki yake kwa njia Ya muziki.
Joab Mwaura kwenye makala ya Sauti Tajika amuangazia Brown Mauzo.

Show More

Related Articles