HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mhandisi Jared Omondi otieno ndiye kaimu afisa mkuu mtendaji, Kenya Power

Mhandisi Jared Omondi Otieno ameteuliwa kama kaimu mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Kenya Power kuchukua mahala pake Ken Tarus ambaye kwa sasa anakabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya mammlaka.

Waziri wa Kawi Charles Keter amelihakikishia taifa na wadau wote kwamba wasitie shaka hali i shwari Kenya Power.

Show More

Related Articles