HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Mgaagaa na upwa: Tunamuangazia Rhoda Munyi Makanika wa magari kwa miaka 27

Ni mama ya watoto watano na ana umri wa miaka 51 sasa. Watoto wake wanne wamefika vyuo vikuu huku kitinda mimba akijiandaa kufanya mtihani wake wa KCSE mwaka huu.

Kazi yake ni umakanika katika kampuni ya Simba Colt Motors, akiwa ameifanya kazi hiyo kwa zaidi ya miaka 27 na kazi hiyo kumsaidia kuiruzuku familia yake.
Basi kwenye makala ya Mgaagaa na Upwa wiki hii Joab Mwaura, anamwangazia Rhoda Munyi ambaye amekata mikatale na kuizamia kazi inayoaminika kuwa ya wanaume, na kujipa riziki.

Show More

Related Articles