HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Mgaagaa na upwa: Tunamuangazia barobaro Taher Noorani anayetumia mitandao ya kijamii kujiruzuku

Huku wengi wakifa moyo na kuacha masomo kwa kukosa fedha kuna wale wanaojikakamua ili kuyasukuma maisha.

Taher Noorani akiwa kielelezo alikosa karo ya kuendelea na masomo katika chuo kikuu lakini kupitia ubunifu wake akaanza biashara ya kutengeneza na kuuza zawadi kupitia mitandao ya kijamii hasa facebook.

Show More

Related Articles