HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mchuuzi anayeuza samosa za nyama ya paka Nakuru afungwa miaka 3

Mwanaume aliyekiri kuuza nyama ya paka kwa wauzaji samosa mjini Nakuru amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu na mahakama moja mjini Nakuru.

James Kimani alikiri makosa ya kupatikana wazi na mzoga wa paka aliyekuwa amemuua na kumfanya kuwa kitoweo kisichofaa kwa matumizi ya binadamu.

Show More

Related Articles