HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mbunge wa Nandi hills aachiliwa kwa dhamana ya shilingi milioni 2

Mbunge wa Nandi Hills Alfred Keter , na wakurugenzi wawili wa kampuni ya Desai Arthur Sakwa na Madat Chatur wameachiliwa kwa dhamana ya shilingi milioni mbili kila mmoja pesa taslimu , baada ya kukana madai ya kunuia kutapeli benki kuu hati za dhamana zenye thamani ya shilingi milioni 633.
Keter na wenzake wameshtakiwa kwa makosa 11 ya ulaghai , huku hakimu mkuu Francis Andayi akisema kuwa kesi yenyewe itajwe mnamo tarehe tano mwezi machi, na kuanza kusikizwa mwezi juni .

Show More

Related Articles