HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosUS Election 2016

Mbinu zipi alizozitumia Trump kushinda Uchaguzi wa Urais?

Ushindi wa Donald Trump kwenye uchaguzi wa Urais wa Marekani bila shaka umewaacha wengi na maswali mengi kuliko majibu.
Ukweli wa mambo ni kwamba wengi vikiwemo vyombo vya habari nchini Marekani walidhania kwamba bi Hillary Clinton angetwaa ushindi kwa asili mia kubwa zaidi ya kura, lakini walivyodhani ndivyo kumbe sivyo. Wengi sasa wamebaki na maswali, la mno likiwa ni je, Donald Trump alitumia mbinu gani kushinda kwenye uchaguzi huo, na yapi yalichangia kitumbua cha bi Clinton kuingia mchanga?

Show More

Related Articles