HabariK24 TvSwahiliVideos

Makao ya Vonza Kitui yanawapa hifadhi watoto 900

Kitui

Humu nchini kuna takriban makao elfu moja ya watoto mayatima,…lakini asilimia kubwa ya makao hayo yako mijini. 

Hata hivyo kuna makao ya watoto mayatima kaunti ya Kitui, kijijini kwa Vonza ambayo yanawalea watoto  takirban mia tisa kwa makundi ya watoto watano huku kila kundi likijengewa nyumba na kupewa kipande cha ardhi wanakoishi sawia na familia yoyote ya kibinafsi.

 

 

Show More

Related Articles