English VideosK24 TvNEWSSwahili

Maisha ya Satrin Osinya miaka 4 baada ya shambulizi la ugaidi Likoni 2014

Mnamo mwakwa wa 2014, shambulizi la kigaidi katika kanisa moja eneo la Likoni, kaunti ya Mombasa, lilimwacha mtoto mmoja na risasi kichwani  na mamake kafariki.

Lakini miaka 4 baadaye , maisha ya mtoto Satrin Osinya na nduguye Gift yamebadilika kabisa  baada ya Gavana wa Nairobi, Mike Sonko na mkewe kuwachukua kama watoto wao.

Show More

Related Articles