HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Maafisa 5 wa polisi wanashika doria shuleni Moi usiku na mchana

Wazazi wa shule ya wasichana ya Moi Girls jijini Nairobi hii leo wamechagua wawakilishi wao kwenye muungano wa wazazi na walimu.
Hii ni baada ya Waziri wa Elimu Amina Mohamed kufutilia mbali muungano wa hapo awali pamoja na bodi ya shule hiyo.
Wanafunzi wanatazamiwa kurejea shuleni jumapili huku mabadiliko kadhaa ya kiusalama yakizinduliwa.

Show More

Related Articles