HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Kuanzia kesho, matatu kuruhusiwa jijini kwa mpigo wa matatu 2

Kuanzia hapo kesho idara ya usimamizi wa jiji chini ya Peter Mbaya imetoa amri kuwa hawataruhusu vijana wanaohudumu kama manamba katika vituo vya magari na wanaojulikana kuwashurutisha  abiria kuabiri magari.
Aidha  Mbaya anasisitiza kuwa kando na hilo itabidi mashirika ya matatu kufuata mpango wa magari mawili mawili kuingia jiji kwa mpigo badala ya magari yote ya shirika moja ili kupunguza msongamano.

Show More

Related Articles