HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Kizungumkuti cha Ndakaini: Utoaji maji kwa mgao Nairobi kuendelea hadi 2026

Serikali imebuni jopo la wanachama sita litakalochunguza sababu za upungufu wa maji katika bwawa la Ndakaini licha ya mvua kubwa inayoshuhudiwa nchini pamoja na utendakazi katika kampuni ya kusambaza maji ya Nairobi.
Hilo limetangazwa na katibu katika Wizara ya Maji Joseph Irungu hii leo huku ikibainika kuwa wakazi wa Nairobi wataendelea kushuhudia mgao wa maji ambao umekuwa ukiendelea hadi mwaka wa 2026.

Show More

Related Articles