HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Ari na ukakamavu: Kijana wa miaka 9 anatengeneza fremu za picha kwa maganda ya mayai

Wengi wetu tumezoea kula mayai haswa yale ya kuchemsha na kisha kuyatupa magamba yake, ila uchunguzi unadhihirisha kuwa magamba yale yana manufaa mengi  mwilini na kwake malaika Ianna mwanafunzi wa miaka 9 katika shule moja kaunti ya Kisumu, amekuwa akitumia magamba ya mayai kutengenezea fremu za picha.
Kimani Githuku alijiunga naye na kutuandalia taarifa ifuatayo kwenye makala ya ari na ukakamavu.

Show More

Related Articles