HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Moto wapelekea wadi ya wanawake waliojifungua kufungwa, Mbagathi

Hali ya taharuki ilitanda baada ya kisa cha moto kutokea katika hospitali ya Mbagathi hapa Nairobi.
Moto huo unaodaiwa kusababishwa na hitilafu za umeme ulipelekea kufungwa kwa wadi ya kina mama waliojifungua na kina mama na watoto waliokuwa pale kuhamishwa hadi kwenye hospitali zingine.
Muungano wa wauguzi nchini sasa unamtaka waziri wa afya katika kaunti ya Nairobi Hitan Majevdia kupigwa kalamu kutokana na  masaibu yanayoendelea kuikumba hospitali ya Mbagathi.

Also read:   Teachers at Sala primary school decry harsh living conditions

Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker