HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Mgaagaa na Upwa: Mkaazi wa Nakuru anayetengeneza sharubati maridhawa ya miwa

Biashara ya  sharubati ya miwa imenoga katika mitaa mingi nchini.

Na jinsi biashara inavyonoga ndivyo wengine wanavyobuni namna tofauti ya kuhakikisha kuwa biashara yao inavutia wateja zaidi.

Kutana na Patrick Ndegwa ambaye kando na kutengeneza sharubati hiyo anabuni njia mbadala ya kuongeza virutubishi zaidi kwenye sharubati ili kuwavutia wengi zaidi.

Also read:   Mfanyibiashara Josephine Kabura atolewa jasho na wabunge

Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker