HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Naibu rais Ruto na Raila Odinga waifariji familia ya marehemu

Naibu rais William Ruto ameambatana na kiongozi wa upinzani Raila Odinga kuifariji familia ya mwendazake mwanasiasa mkongwe Kenneth Matiba nyumbani kwake Riara Ridge.

Wawili hao wamemtaja matiba kama kiongozi aliyejitolea pakubwa kuhakikisha taifa linapiga hatua kubwa kimaendeleo.

Wakati huo huo kamati andalizi ya mazishi ya mwendazake mwanasiasa mkongwe Kenneth Matiba imeratibu ibada mbili za wafu kwa mwendazake juma lijalo ili umma kuhudhuria.

Also read:   Rais Kenyatta na naibu wake waahidi miradi zaidi ya maendeleo Turkana

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker