HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Kamati ya bunge yawahoji wanabodi kuhusu ujenzi wa jumba la Hazina Towers

Bodi ya hazina ya huduma za uzeeni NSSF hii leo ilijipata kwenye kiti moto baada ya kamati ya uwekezaji bungeni PIC kuanzisha uchunguzi kwenye sakata ya ujenzi wa jumba la Hazina Towers jijini Nairobi.
Hata hivyo katibu mkuu wa muungano wa wafanyikazi COTU Francis Atwoli ambaye ni mmoja wa wanabodi hiyo aliwatetea wenzake jambo ambalo halikumfurahisha waziri wa leba Ukur Yattani.

Also read:   Eikenita inkasarani iltunganak lemurua e Kabianga te Kericho etarasaka enkima

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker