HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Matiba ni mmoja wa baadhi ya viongozi waliopigania demokrasia nchini

Wenyeji wa eneo bunge la Kiharu haswa vijana wakati huo walimfahamu marehemu kenneth matiba kama ksn kumaanisha Kenneth Stanley Njindo.

Matiba katika azma ya kuhakikisha kesho njema kwa vijana hao akajivisha makeke ya ujasiri kama njia ya pekee ya kuwahudumia wakenya wazalendo.

Kama anavyotujuza Caleb Ratemo, Kenneth Matiba akiwa ndiye aliyedhalilishwa na kuteswa kiimla zaidi kwenye azma ya kuzua mwamko mpya wa kisiasa uliojaa demokrasia asitambuliwe hiyo baadaye, alishikilia papo kwani kwake ilikuwa ni haturudi nyuma.

Also read:   Retired President Mwai Kibaki pays tribute to the late Matiba

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker