Kalonzo adokeza yeye, Mudavadi na Wetangula kukutana na Rais

Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amesema kuwa wana nia ya kukutana na rais Uhuru Kenyatta yeye pamoja na vinara wenzake Musalia Mudavadi wa chama cha ANC na Moses Wetangula wa Ford Kenya, ili waweze kupata nafasi ya kuelezewa yaliyokusudiwa kwenye maafikiano kati ya rais Kenyatta na kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga.

Also read:   Viongozi wa ODM wahusishwe katika bodi ya uchaguzi wa chama

Vyama hivyo vinatarajiwa kuandaa mikutano mikuu ya wajumbe wao Jumanne ya juma lijalo.

Related Articles