Wanafunzi 2 wa chuo kikuu washtakiwa kwa kulaghai wabunge

Wanafunzi wawili wa chuo kikuu cha Multimedia wameshtakiwa kwa kosa la kumlaghai aliyekua mbunge wa Gem Jakoyo Midiwo shilingi 100,000 baada ya kutumia nambari ya simu ya mkononi walioisajili kama ya mwakilishi kinamama wa Murang’a Sabina Chege.
Upande wa mashtaka umeiambia mahakama,Deric Kimutai na Edwin Nderitu wamekua wakipiga kambi nje ya majengo ya bunge kuwalaghai wabunge.
Ni jana tuu ambapo mwakilishi wa wanawake Sabina Chege aliwasilisha hoja kulalamikia simu zao kutumiwa na walaghai kuwatapeli au kutuma picha za ngono.

Also read:   Bodies of fallen pupils flown to Nairobi from Mombasa Friday morning

Related Articles