Mgaagaa na upwa : Mkaazi wa Kakamega anayegaagaa kwa kulima kwa ala ya plau

Mgaagaa na upwa : Mkaazi wa Kakamega anayegaagaa kwa kulima kwa ala ya plau

Protus Amkote, baba ya watoto watano, ingawaje, alifika darasa la nne katika masomo yake, si mvivu kusaka riziki ya wanawe. kazi yake, ni kulima mashamba katika eneo la emukaba kaunti ya kakamega, akitumia ng’ombe na plau.
Kwa siku moja anaweza lima ekari moja hivi, na kupata shilingi elfu moja na mia mbili.
Basi huyu hapoa Joab Mwaura na maelezo zaidi, kwenye makala ya Mgaagaa na Upwa wiki hii.

Also read:   Wizara ya Elimu yatoa ratiba mpya ya mitihani ya KCSE na KCPE

Related posts

MNL App
MNL App