Afisa Mkuu wa Utunzi wa misitu KFS Emilio Mugo ang’atuliwa

Afisa Mkuu wa Utunzi wa misitu KFS Emilio Mugo ang’atuliwa

Siku moja tu baada ya waziri wa mazingira Keriako Tobiko kutishia kuwachukulia hatua kali maafisa wa utunzi wa misitu nchini afisa mkuu wa utunzi wa misitu katika idara ya huduma za misitu KFS, Emilio Mugo ameamuriwa kujiondoa afisini kwa muda huku uchunguzi dhidi yake ukifanyika.
Hapo jana, waziri aliamuru wakuu wanne wa misitu ya Ngong, Kibiku, na Thogoto kuhamishwa mara moja katika harakati za kurejesha nidhamu na uwajibikaji katika utunzi wa misitu nchini.
Huku haya yakijiri, waziri wa ardhi Farida Karoney ameanza rasmi utekelezaji wa mradi wa kiteknolojia ya kuhifadhi rekodi za mashamba kidijitali .

Also read:   Central Kenya meeting marked by low turn-out of leaders

Related posts

MNL App
MNL App