HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Kenyatta na Odinga waahidi kuunda ofisi kuoanisha sera muhimu

Mkutano kati ya rais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga umewapata wengi kwa mshangao, kwani hata wandani wa wawili hao hawakuwepo kwenye mkutano huo.

Duru za kuaminika zimearifu Kenyatta na Odinga walicheza karata zao chini ya meza, ili kuhakikisha wameafikia azimio lao kuunganisha Kenya. Lakini suali wanalojiuliza wengi katika nyanja ya siasa ni je, mwelekeo wa muungano wa upinzani utakuwa upi sasa?

Also read:   Garre leaders launch Jubilee campaigns for Mandera County

Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker