Monica Juma : Taifa litashirikiana na mataifa yenye malengo sawa na ya serikali

Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni balozi Monica Juma amesema kuwa taifa la Kenya litazingatia pakubwa ukuzaji wa uhusiano wa kidiplomasia na mataifa yanayoshiriki msukumo sawa na ule wa kenya kuhusu kuafikiwa kwa ajenda kuu nne za serikali kwenye kipindi hiki cha pili cha uongozi wa rais Uhuru Kenyatta.

Also read:   Rais na Naibu wake waapishwa katika sherehe iliyoandaliwa Kasarani

Kwenye hotuba yake ya kwanza kama waziri hasa kwa waandishi wa habari ,balozi Juma pia amegusia ziara ya waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa marekani anayetarajiwa nchini hapo kesho.

Related Articles