HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Ari na Ukakamavu: Tunaangazia ari ya msanii wa dini ya Akorino, Phil Kimemia

Kwenye makala ya Ari na Ukakamavu wiki hii tunamwangazia  msanii kutoka dini ya akorino, Phil Kimemia kijana ambaye  amejitosa kwenye muziki na sio tu muziki mbali muziki unaowaacha wengi wakistaajabu kutokana na sauti yake ya kipekee.

Mwanahabari wetu Kimani Githuku alijiunga naye na kutuandalia taarifa hii.

Also read:   Experts to seek planting of non indigenous trees ban in Kenyan forests
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker