HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mbunge mbishi wa Nandi Hills Alfred Keter apoteza kiti chake

Mbunge wa Nandi Hills Alfred Keter ni miongoni mwa wabunge watatu walioangukiwa na shoka la ushindi wao kufutiliwa mbali na mahakama kuu .
Kando na Keter mbuge wa Ugenya Chris Karan na Wanjiku Kibe wa Gatundu kaskazini pia hawakusazwa baada ya ushindi wao kufutiliwa mbali.
Timothy Simwa na mseto wa taarifa kutoka mahakamani.

Also read:   Wanjiku wa Kibe kuuria aikari a kaunti ya Kiambu kunyita mbaru aria marahotanire na kiama kia Jubilee

Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker