Ari na Ukakamavu: Barobaro Kevin Manyasi anayeng’aa kwenye soka nchini

Ari na Ukakamavu: Barobaro Kevin Manyasi anayeng’aa kwenye soka nchini

Mchezo wa kandanda ni mchezo ambao wengi wanauenzi sana huku sifa zake zikitamba kote duniani.

Kwenye makala ya Ari na Ukakamavu wiki hii tunamuangazia Kevin Manyasi mwanafunzi mwenye umri wa miaka 13 ambaye uhodari wake kwenye mchezo wa soka umewaacha wengi vinywa wazi na hata vilabu vya kimataifa vikianza kumezea mate ushupavu wake.

Also read:   Emmerson Mnangagwa aapishwa rasmi kama rais wa pili, Zimbabwe

Related posts

MNL App
MNL App