Boinnet Atetea polisi dhidi ya madai ya kukandamiza viongozi wa upinzani

Boinnet Atetea polisi dhidi ya madai ya kukandamiza viongozi wa upinzani

Inspekta Jenerali wa Polisi Joseph Boinnet ametetea kikosi cha polisi dhidi ya madai ya kukandamiza viongozi wa upinzani na ukiukaji wa haki za kibinadamu.
Boinett aliyekuwa akizungumza katika chuo cha mafunzo ya polisi cha Kiganjo kaunti ya Nyeri aliongeza kuwa maafisa wa polisi wanakabiliana tu na watu wanaokiuka sheria na kwamba ni wajibu wa polisi kulinda sheria wala hakuna atakayesazwa akipatikana na hatia.

Also read:   President Kenyatta hails outgoing Archbishop Wabukhala as good example Kenyans should emulate

Related posts

MNL App
MNL App