Wanafunzi wa kidato cha kwanza na pili Jamhuri warejea shuleni

Wanafunzi wa kidato cha kwanza na pili Jamhuri warejea shuleni

Shule ya upili ya wavulana ya Jamhuri High iliyofungwa kutokana na rabsha wiki mbili zilizopita imefunguliwa rasmi hii leo huku wanafunzi wa kidato cha kwanza na pili wakirejelea masomo.

Mikakati kadha imewekwa kuimarisha usalama ambapo mitambo ya kielektroniki itatumika kuwanakili wanafunzi wanapoingia shuleni au kutoka na pia kutuma ujumbe kwa wazazi.

Also read:   Shock after body of Chris Musando is discovered at City mortuary

Wanafunzi wa kidato cha tatu na nne wanatarajiwa kurejea shuleni hapo kesho.

Related posts

MNL App
MNL App