Mahakama ya Machakos kuamua mwezi ujao iwapo ukeketaji uhalalishwe

Mahakama ya Machakos kuamua mwezi ujao iwapo ukeketaji uhalalishwe

Mjadala kuhusu swala la ukeketaji huenda ukapata mwelekeo mpya huku mahakama moja mjini Machakos ikitarajiwa kutoa uamuzi iwapo unafaa kuhalalishwa mwezi ujao.

Jaji David Kimei  amewataka wanaopinga kesi hiyo ya kuhalalisha ukeketaji kuwasilisha majibu yao katika muda wa siku thelathini kabla ya kesi hiyo kuanza kusikilizwa.

Kesi hiyo inayopendekeza kubatilishwa kwa sheria inayopinga ukeketaji iliwasilishwa mahakamani na daktari mmoja, ambaye anasema tohara ni haki kwa mtoto wa kike.

Also read:   Madaktari waonya kuhusu matumizi ya dawa bila ushauri wa daktari 

Related posts

MNL App
MNL App