Watu 3 wafariki, zaidi ya 70 walazwa hospitalini Tharaka Nithi

Watu 3 wafariki, zaidi ya 70 walazwa hospitalini Tharaka Nithi

Watu watatu wameripotiwa kufariki huku 71 wakilazwa katika hospitali mbali mbali katika kaunti ya Tharaka Nithi kufuatia mkurupuko wa ugonjwa wa kipindupindu.
Inasemekana kuwa huenda ugonjwa huo ulisababishwa na maji taka kutoka mtoni yaliyochanganyika na majia ya kunywa.

Also read:   Shock after body of Chris Musando is discovered at City mortuary

Related posts

MNL App
MNL App