Wasafiri wakwama kutokana na marufuku ya kusafiri usiku

Wasafiri wakwama kutokana na marufuku ya kusafiri usiku

Usafiri wa umma kote nchini umekumbwa na hali ya siutofahamu, baada ya marufuku ya mamlaka ya kitaifa ya  uchukuzi na usalama barabarani NTSA kupiga marufuku usafiri nyakati za usiku.

Hali hiyo imekuwa mbaya zaidi huku ikizingatiwa kuwa wengi wanasafiri kutoka sehemu mbali mbali baada ya msimu wa sikukuu.

Walioadhirika zaidi ni wanafunzi wanaorejea shuleni.

Also read:   Maiti 4 zaopolewa huku 6 zikiendelea kutafutwa, Siaya

Related posts

MNL App
MNL App