Ari na Ukakamavu: Msanii Kapedo aliyebobea katika sanaa ya mashairi 

Ari na Ukakamavu: Msanii Kapedo aliyebobea katika sanaa ya mashairi 

Kwenye makala ya Ari na Ukakamavu hii leo tunamwangazia msanii Kapedo Kadima, kijana ambaye hufanya sanaa ya mashairi almaarufu spoken word.
Huyu ni msanii ambaye sifa zake zimeenea kote nchini kutokana na mashairi yake ambayo huangazia masuala yanayoathiri jamii hasa amani na umoja.

Also read:   Konnect: Lubricants & MSA Raha

Related posts

MNL App
MNL App