Wasiotambulika: Mume anayewapa makao watoto,Kakamega 

Wasiotambulika: Mume anayewapa makao watoto,Kakamega 

Kutokana na elimu ya bure kuanziswa haswa kwa shule za msingi, watoto wengi haswa kutoka kwa familia masikini walipata fursa ya kuenda shule kupata elimu.

Hata hivyo, katika baadhi ya maeneo humu nchini, watoto hawa hutoroka shuleni na kutafuta njia mbadala za kujitafutia riziki kutokana na ukosefu wa chakula na uchochole nyumbani mwao.

Also read:   Body of young man who drowned in Kitui dam retrieved after five-day search.

Kwenye makala yetu ya leo ya Wasiotambulika, Dennis Matara ametuandalia taarifa ya Justin Mutobera, mwanamume mmoja kutoka kaunti ya Kakamega ambaye aliamua kujitolea kuwapa vyakula wanafunzi kutoka familia maskini karibu na nyumbani mwake.

Related posts

MNL App
MNL App