HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Mgaagaa na Upwa: Wazee wanaogaagaa kama wafinyanzi, Kakamega 

Kazi ya ufinyanzi huhitaji uweledi kwani, vyombo kama vyungu huhitaji ubunifu wa hali ya juu.
 
Katika eneo la Ilesi kaunti ya Kakamega, kutana na wazee ambao wamebobea katika kazi hii ya ufinyanzi wa vyungu.

Also read:   Mshukiwa aliyemjeruhi hakimu Nakuru afikishwa kizimbani

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker