Wanadada waliovaa nusu uchi wasisimua biashara ya kuosha magari

Wanadada waliovaa nusu uchi wasisimua biashara ya kuosha magari

Je , unaweza  kusafishiwa  gari lako na mwanamke , tena ambaye yuko nusu uchi? swali gumu hilo lakini sasa sio suala nathiria bali ni uhalisia wa jinsi usafishaji wa magari unafanyika katika eneo moja la burudani hapa mjini Nairobi .

Kando na wanawake hao kuosha magari wakiwa uchi , wamiliki wa magari hawalipishiwi hata ndururu kuoshewa magari hayo.

Also read:   Catholic church unveils shrine in honour of sister Nyaatha in Nyeri

Frankline Macharia anasimulia mbinu mpya ambayo klabu ya Natives inatumia kuwanasa wateja walio na kiu ya burudani.

Related posts

MNL App
MNL App